Karibu!

Kama Ungependa Kuwa Wakala Wa Tunakopesha; Tafadhali Pakua Programu Ya Kopa

Faida Za Kuwa Wakala Wa Tunakopesha

  1. Kujiajiri; Kama Bado Hauna Ajira Kabisa
  2. Kuongeza Kipato Chako Kupitia Kamisheni Ya Uwakala
  3. Kuvutia Wateja Dukani Kwako; Kama ni Mfanya Biashara
  4. Kufahamiana na Watu Mbalimbali Kibiashara

Jinsi ya kupakua Kopa

  1. Ingia Kwenye Simu Yako; Nenda kwenye mpangilio; kisha ruhusu ‘Unknown Sources’ kama inavyoonekana kwenye picha

  2. Bonyeza Linki Hapa chini; Upakue Programu Ya Kopa
Pakua Kopa (Kwa Watumiaji wa Android tu)